728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, May 22, 2016

    SHANGWE LA TAMASHA LA JEMBEKA FESTIVAL JIJINI MWANZA BALAA,(Picha).

     
    Jumamosi Mei 21 kuamkia Jumapili Mei 22, imekuwa full shangwe jijini Mwanza katika Tamasha la "Jembeka Festival 2016", baada ya kudondoshwa burudani kali kutoka kwa msanii Neyo (Marekani) pamoja na wasanii wengine nchini wakiongozwa na Diamond Platnumz, katika Uwanja wa CCM Kirumba.
     
    Ni tamasha ambalo hufanyika kila mwaka may 21, kama sehemu ya maadhimisho ya ujio wa jembe fm radio ya jijini Mwanza.
     
    Picha zaidi Hapa chini.




     








     


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SHANGWE LA TAMASHA LA JEMBEKA FESTIVAL JIJINI MWANZA BALAA,(Picha). Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top