728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, May 26, 2016

    Yanga Wamepata Jembe Kutoka Coastal Union Ingia Hapa Kufahamu Alichokisema Mayanja.



    Mahadhi ambaye ameonyesha kiwango kikubwa kwa msimu huu akiwa na Coastal Union kiasi cha kuitwa timu ya taifa, Taifa Stars, amesajiliwa na Yanga kwa mkataba wa miaka mitatu.

    Mayanja ambaye ameiongoza Simba kumaliza katika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara amesema kuwa kutokana na kufahamu kipaji alichonacho kiungo huyo ana uhakika mkubwa ataisaidia Yanga msimu ujao.


    “Naamini kwamba Yanga wamepata mchezaji sahihi, atawasaidia sana kwa msimu ujao kwani uwezo anao na anaweza kuwapa changamoto viungo wengine aliowakuta kikosini,” alisema Mayanja.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Yanga Wamepata Jembe Kutoka Coastal Union Ingia Hapa Kufahamu Alichokisema Mayanja. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top