728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, May 14, 2016

    WENGER AMESEMA HANA MPANGO WA KUSAINI MKATABA MPYA HABARI ZIWAFIKIE MASHABIKI WA ARSENAL

    Kocha wa Arsenal Arsene Wenger, amesema hataongeza mkataba na klabu hiyo mpaka mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu ujao na kutoa mustakabali wake.

    Wenger ambaye mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu wa mwaka 2016-17 amekuwa chini ya kitimoto baada ya mashabiki wa klabu yake kuwa na hasira nzito kutokana na na kushuhudia msimu mwingine ukipita bila kombe lolote hasa la Ligi Kuu nchini humo.

    Mara ya mwisho Arsenal ilichukua ubingwa wa EPL mwaka 2004, huku wakishuhudia Leicester nao wakichukua ndoo msimu huu licha ya udogo wa bajeti ya kikosi chao ukilingaisha na vilabu vikubwa kama Chelsea, Manchester United, Manchester City, Liverpool na Arsenal yenyewe.

    "Nitasubiri mpaka mwishoni mwa msimu ujao,ndiyo," Wenger alisema huku tayari akiwa amekataa kufanya mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya. "Hii ina maana kwamba hakuna mazungumzo juu ya mkataba mpya msimu ujao? swadakta kabisa", alisema.

    "Haya sio maamuzi yangu, ni maamuzi ya klabu. Kazi yangu kubwa ni kuifanya klabu ipate mafanikio na kuiacha ikiwa katika mikono salama.

    "Sina budi kusahau kuhusu mimi mwenyewe hata kama watu wanasadikika kuondoa hali ya utulivu hatawafanya hivyo tena. Nitaendelea kuisaidia klabu kadri niwezavyo na baada ya hapo tutaona nini kitatokea.

    - See more at: http://www.barakampenja.com/2016/05/taarifa-hii-kuhusu-wenger-pengine.html#sthash.094d9xjG.dtc9Gzh8.dpuf

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WENGER AMESEMA HANA MPANGO WA KUSAINI MKATABA MPYA HABARI ZIWAFIKIE MASHABIKI WA ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top