728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, May 15, 2016

    BALAA LA SWAHILI FOOD FESTIVAL NI LEO JIJINI MWANZA.

    MWANZA!!! Usisahau leo Jiji zima Tunakutana Pale ROCK CITY MALL katika SWAHILI FOOD FESTIVAL ambapo kwa mara ya Kwanza @Rayvanny na team nzima atakuwa anapanda kwenye Stage kuhakikisha anakata kiu yako ya Burudani!!!! Hakikisha Haikupiti hii.
     
    Kama ni burudani kutoka WCB team Wasafi Raymond atakuwa pale eneo la tukio Rock City Mall Mwanza. Wasanii wengine ni Mirror Rhymes, Edu Boy na wengine wakali kibao.
     
    Mziki mzuri toka Jembe Djz, na Mcz wa Shughuli nzima ni Mbaba Vc Pamoja na Bonz Balaa kutoka 93.7.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BALAA LA SWAHILI FOOD FESTIVAL NI LEO JIJINI MWANZA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top