728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, May 9, 2016

    Habari zikufikie kuwa Djokovic ametwaa ubingwa wa Madrid Open.

     Nyota wa mchezo wa tenesi Novack Djokovic ameshinda ubingwa wa michuano ya wazi ya Madrid Djockovic ametwaa ubingwa huo baada ya kumshinda bingwa mtetezi wa michuano hiyo muingereza Andy Murray kwa jumla ya seti mbili.

    Katika seti ya kwanza alishinda kwa 6-2 kisha akapoteza kwa 3-6 nakumaliza na ushindi wa 6-3 katika seti ya mwisho.

    Kushindwa kwa Murray kutasababisha kushuka kutoka nafasi ya pili katika katika viwango vya ubora vya mchezo huu na nafasi yake kuchukuliwa na Roger Federer anayeshika nafasi ya pili  kwa ubora.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Habari zikufikie kuwa Djokovic ametwaa ubingwa wa Madrid Open. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top