728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, May 11, 2016

    Waziri Mkuu wa Uingereza aliitaja Nigeria Miongoni mwa mataifa Fisadi Duniani Rais amejibu.


    Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema kuwa serikali yake imepigwa na butwaa na matamshi ya kushtua na ya aibu ya waziri mkuu wa Uingereza Bw David Cameron yakwamba Nigeria na Afghanistan ndio mataifa fisadi zaidi duniani.

    Rais Buhari ameyasema hayo muda mchache tu baada ya kupata habari hiyo kumhusu waziri mkuu wa Uingereza David Cameron.

    Rais Buhari akizungumza kupitia msemaji wake, Garba Shehu ametaja matamshi ya Cameron kuwa ya aibu na kushtua.

    ”Kiongozi huyo wa Nigeria anasema labda Cameron alikuwa akizungumzia utawala uliondoka madarakani mwezi Mei mwaka uliopita wa aliyekuwa rais Goodluck Jonathan.

    ”Buhari alichaguliwa kwa jukwaa la kupamabana na ufisadi.”
    ”yeye ndiye kifagio cha ufisadi nchini Nigeria.”
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Waziri Mkuu wa Uingereza aliitaja Nigeria Miongoni mwa mataifa Fisadi Duniani Rais amejibu. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top